DRC

01 Februari 2021

Hii leo jaridani tunammulika Noela Kombe, al maarufu Mamaa Noela kutoka kule Beni jimboni Kivu Kaskazini na jinsi anavyotekeleza wito wake wa kusaidia watoto yatima. Hiyo ni katika mada kwa kina lakini kuna muhtasari wa habari tukianzia Somalia, kisha Myanmar na hatimaye Sudan Kusini.

Sauti -
10'45"

29 Januari 2021

Hii leo Ijumaa ni mada kwa kina , leo tutaelekea Nairobi, mji mkuu wa Kenya ambapo tutakutana na mfanyakazi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -
10'45"

Walinda amani wa TANZBATT-7 watoa zawadi kwa watoto yatima DRC.

Walinda amani kutoka Tanzania wanaohudumu katika kikundi cha  TANZBATT-7 ambacho  kiko katika kikosi cha kujibu mashambulizi, FIB, cha Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani DRC, MONUSCO, wametembelea na kutoa zawadi kwa watoto wa kituo cha Mungu ni mwema, Beni, DRC. 

 

 

18 Januari 2021

Hii leo Jumatatu ni mada kwa kina tunapiga kambi Beni jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC ambako walinda amani kutoka Tanzania wanaohudumu kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo

Sauti -
11'54"

Asante TANZBATT_7 kwa mafunzo ya TEHAMA, sasa tunajiamini- Mkazi Beni 

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania wamechukua jukumu la kufundisha wakazi wa jimboni Kivu Kaskazini teknolojia ya mawasiliano kama njia mojawapo ya kuwajengea uwezo sambamba na ulinzi wa raia. 

Kuwepo kwa hifadhi ya chanjo kutarahisisha vita dhidi ya milipuko ya Ebola:UN

Hifadhi ya chanjo ya Ebola kwa ajili ya kusubiri wakati wa dharura yaanzishwa 

Sauti -

UNHCR yatiwa hofu na wanaokimbia ghasia CAR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limesema lina hofu kubwa ya kwamba ghasia na ukosefu wa usalama vitokanavyo na uchaguzi mkuu wa tarehe 27 mwezi uliopita nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, vimesababisha zaidi ya watu 30,000 kukimbilia nchi jirani za Cameroon, Chad, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Jamhuri ya Congo.
 

Mauaji ya raia DRC yanachukiza, mamlaka wajibisheni wahusika- Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  Antonio Guterres amerejea wito wake wa kusitisha uhasama kimataifa na kuyataka makundi yote yenye silaha kuweka silaha hizo chini na kujiunga katika mc

Sauti -
1'26"

07 Januari 2021

Hii leo jaridani Flora Nducha anaanza na wito wa Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres kwa mamlaka DRC kuchukua hatua kulinda raia na kuadhibu wahusika wa mauaji ya raia huko Beni, Kivu K

Sauti -
12'4"

Chonde chonde DRC sitisheni uhasama na kuwawajibisha wauaji wa raia:Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  Antonio Guterres amerejea wito wake wa kusitisha uhasama kimataifa na kuyataka makundi yote yenye silaha kuweka silaha hizo chini na kujiunga katika mchakato wa amani, baada ya raia zaidi ya 20 kuuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.