DRC

Mlipuko wa Nyiragongo wawaacha watu wenye ulemavu hoi bin taaban- UNHCR

Mamia kwa maelfu ya watu waliotawanywa na mlipuko wa volcano wa mlima Nyiragongo Masharki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, sasa wanahitaji msaada wa haraka katika maeneo walikokimbilia na kupata hifadhi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -

Clement abadilika kutoka 'nyoka wa machimbo' hadi mwanafunzi darasani

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto limechukua hatua kuwaondoa watoto wachimbaji madini kwenye eneo la Kipushi, jimboni Katanga-Juu na kuwapeleka shuleni, hatua ambayo imeleta furaha kwa watoto hao. Assumpta Massoi na maelezo zaidi. 

Sauti -
2'

09 Juni 2021

Hii leo Leah Mushi anaanza na mashindano ya michezo Olimpiki yanayoanza mwezi ujao huko Tokyo Japan ambako wakimbizi watashikiri. Kisha anabisha hodi DRC jimboni Katanga Juu kukutana na watoto walionusuriwa kutoka uchimbaji madini.

Sauti -
13'8"

Waasi 22 wauawa huko Ituri, MONUSCO yadhibiti shambulio lao 

Takribani watu 30 wameuawa kufuatia shambulio la jumatatu huko Kinyanjojo na Boga kwenye jimbo la Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. 

04 JUNI 2021

Katika jarida la mada kwa kina kutoka Umoja wa Mataifa hii leo Leah Mushi anakuletea:

Sauti -
12'19"

Takribani watu 6,000 wamekimbia makazi ya dharura kutokana na mashambulizi DRC- UNHCR 

Mashambulizi makali yanayotekelezwa na waasi wa kundi la Allied Democratic Forces ADF, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC yamewalazimisha watu 5,800 kukimbia mara kadhaa katika makazi ya watu waliotawanywa katika jimbo la Ituri Mashariki mwa nchi hiyo. 

UNHCR yatoa mafunzo ya kutengeneza taulo za kike

Wanawake na wasichana wakimbizi waliotawanywa na machafuko nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC, wamekuwa wakiteseka kwa muda mrefu kupata taulo za kike kila mwezi kutokana na gharama huku wakijaribu kulinda uhai wao, na kuhudumia familia zao baada ya kukimbia vita.

Sauti -

Wanawake na wasichana wakimbizi wahaha kupata taulo za kike DRC, UNHCR yawasaidia 

Wanawake na wasichana wakimbizi waliotawanywa na machafuko nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC wamekuwa wakiteseka kwa muda mrefu kupata taulo za kike kila mwezi kutokana na gharama huku wakijaribu kulinda uhai wao na kuhudumia familia zao baada ya kukimbia vita. Lakini sasa kwa msaada wa mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR wanaweza kujishonea taulo hizo na kujisitiri.

Tulisikia mitetemo na moto kila mahali na tukakimbia- Manusura wa volkano ya Nyiragongo, DRC

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR na wadau wengine wanawasaidia watu waliolazimika kuyakimibia makazi yao baada

Sauti -
2'21"

Waasi DRC wavamia kambi za wakimbizi wa ndani na kuua raia 55, UN yapaza sauti

Katibu Mkuu wa  Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali mashambulio ya siku ya Jumatatu yaliyofanywa na waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) dhidi ya wakimbizi wa ndani hu

Sauti -
1'17"