DRC

03 JULAI 2020

Mada kwa kina inamulika lugha ya Kiswahili na ulinzi wa amani huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Mjini Beni, jimboni Kivu Kaskazini ambako walinda amani kutoka Tanzania wanahudumu chini ya bendera ya Umoja wa Mataifa.

Sauti -
9'58"

Uganda yafungua mpaka kwa muda kuruhusu wakimbizi kutoka licha ya COVID-19

Hatimaye Uganda imeruhusu raia wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC waliokimbia mapigano nchini mwao wapatiwe hifadhi baada ya kushindwa kuingia nchini humo tangu mwezi Mei mwaka huu kutokana na janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.

Sauti -
2'42"

Vikundi vilivyojihami vyatesa jamii DRC, watu wauawa kwa kukatwa mapanga

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limetoa wito kwa mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, ziimarishe uwepo wa jeshi na polisi kwenye maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo ili kunusuru maisha ya raia wanaoendelea kuteseka na kuuawa na vikundi vilivyojihami.

WHO yapongeza Mlipuko wa Ebola mashariki mwa DRC kumetokomezwa

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imetangaza kutokomezwa kwa mlipuko wa 10 wa Ebola  mashariki mwa nchi hiyo ulioanza mwezi Agosti mwaka 2018. 

Sauti -
2'3"

Mlipuko wa Ebola mashariki mwa DRC umetokomezwa, WHO yapongeza

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imetangaza kutokomezwa kwa mlipuko wa 10 wa Ebola  mashariki mwa nchi hiyo ulioanza mwezi Agosti mwaka 2018. 

Ulinzi wa amani na michezo wadhihirika huko Mavivi, DRC

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, walinda amani kutoka Tanzania wanaohudumu katika kikosi cha 7 cha nchi hiyo, TANZBATT 7, cha kujibu mashambulizi, FIB, cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo, MONUSCO wamepanua wigo wa ukarimu wao kwa watoto na vijana wa eneo la Mavivi, mjini Beni jimboni Kivu Kaskazini.

Pamoja na kulinda amani, TANZBATT 7 yatoa msaada hospitali kuu Beni

Hospitali kuu ya Beni jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imeshukuru msaada wa dawa kutoka kikosi cha Tanzania kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini  humo, MONUSCO  ikisema kuwa msaada huo umekuja wakati muafaka. 

11 JUNE 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo
Sauti -
9'56"

Wakimbizi wa ndani DRC hatarini sababu ya COVID-19, vita na ukata :UNHCR

Wakati janga la virusi vya corona au COVID-19 na vita vikiendelea kushika kasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wakimbizi wa ndani wanakabiliwa na hatari kubwa ya Maisha yao kutoka

Sauti -
1'44"

09 JUNI 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo
Sauti -
11'58"