DRC

Uwepo wa vikosi vya FIB, MONUSCO DRC vimeweka mazingira ya usalama kwa jamii

Leo tunamulika ni kwa jinsi gani uwepo wa kikosi cha kujibu mashambulizi, FIB cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC,

Sauti -
6'2"

27 Novemba 2020

Sikiliza Jarida la Habari la Ijumaa, Novemba 27, 2020 na Anold Kayanda

Sauti -
11'51"

Kijana Richard anatumia ulemavu wake kuelimisa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo dhidi ya polio

Kutana na Richard Elaka mkazi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambaye ni manusura wa ugonjwa wa polio. Yeye anatumia hali yake ulemavu kutokana na Polio kuelimisha jamii umuhimu wa kupatia watoto wao chanjo dhidi ya ugonjwa huo usio na tiba lakini una kinga.

Sauti -
1'49"

Msipowapatia chanjo watoto wenu dhidi ya Polio watakuwa kama mimi- Richard 

Kutana na Richard Elaka mkazi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambaye ni manusura wa ugonjwa wa polio. Yeye anatumia hali yake ulemavu kutokana na Polio kuelimisha jamii umuhimu wa kupatia watoto wao chanjo dhidi ya ugonjwa huo usio na tiba lakini una kinga.

UNICEF: Ebola kwaheri katika jimbo la Equateur DRC 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF leo limekaribisha tangazo la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, linalothibitisha kumalizika kwa mlipuko wa karibuni wa Ebola katika jimbo la Equateur Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.