DRC

Vikundi vilivyojihami vyatesa jamii DRC, watu wauawa kwa kukatwa mapanga

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limetoa wito kwa mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, ziimarishe uwepo wa jeshi na polisi kwenye maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo ili kunusuru maisha ya raia wanaoendelea kuteseka na kuuawa na vikundi vilivyojihami.

WHO yapongeza Mlipuko wa Ebola mashariki mwa DRC kumetokomezwa

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imetangaza kutokomezwa kwa mlipuko wa 10 wa Ebola  mashariki mwa nchi hiyo ulioanza mwezi Agosti mwaka 2018. 

Sauti -
2'3"

Mlipuko wa Ebola mashariki mwa DRC umetokomezwa, WHO yapongeza

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imetangaza kutokomezwa kwa mlipuko wa 10 wa Ebola  mashariki mwa nchi hiyo ulioanza mwezi Agosti mwaka 2018. 

Ulinzi wa amani na michezo wadhihirika huko Mavivi, DRC

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, walinda amani kutoka Tanzania wanaohudumu katika kikosi cha 7 cha nchi hiyo, TANZBATT 7, cha kujibu mashambulizi, FIB, cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo, MONUSCO wamepanua wigo wa ukarimu wao kwa watoto na vijana wa eneo la Mavivi, mjini Beni jimboni Kivu Kaskazini.

Pamoja na kulinda amani, TANZBATT 7 yatoa msaada hospitali kuu Beni

Hospitali kuu ya Beni jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imeshukuru msaada wa dawa kutoka kikosi cha Tanzania kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini  humo, MONUSCO  ikisema kuwa msaada huo umekuja wakati muafaka. 

11 JUNE 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo
Sauti -
9'56"

Wakimbizi wa ndani DRC hatarini sababu ya COVID-19, vita na ukata :UNHCR

Wakati janga la virusi vya corona au COVID-19 na vita vikiendelea kushika kasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wakimbizi wa ndani wanakabiliwa na hatari kubwa ya Maisha yao kutoka

Sauti -
1'44"

09 JUNI 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo
Sauti -
11'58"

Wakimbizi wa ndani DRC hatarini sababu ya COVID-19, vita na ukata :UNHCR

Wakati janga la virusi vya corona au COVID-19 na vita vikiendelea kushika kasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wakimbizi wa ndani wanakabiliwa na hatari kubwa ya Maisha yao kutokana na ukata wa kufadhili shughuli za misaada ya kibinadamu kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.

Nyongeza ya dola milioni 40 kusaidia DRC kukabili dharura za kiafya ikiwemo Ebola

Umoja wa Mataifa umetoa dola milioni 40 kwa ajili ya kusaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ikabiliane na dharura za kiafya zinazokabili taifa hilo, ikiwemo ugonjwa wa Ebola na Surua. Assumpta Massoi na ripoti kamili.

Sauti -
2'25"