DRC

Tangu Juni 6 hakuna visa vipya vya Ebola DRC:WHO

Shirika la afya ulimwenguni WHO,  limesema limefanikikiwa kwa kiasi kikubwa  kuzuia mambukizi mapya na  kusambaa kwa ugonjwa wa ebola katika mkoa wa Mbandaka, nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC.

Maeneo ya ndani zaidi ndio yanatupatia changamoto kwenye Ebola, DRC

Tuna matumaini lakini tuko makini zaidi katika kukabiliana na Ebola huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

Sauti -
1'56"

Umakini zaidi wahitajika dhidi ya Ebola, DRC, tusilegeze kamba- WHO

Huko DRC mwelekeo sasa wa kutibu Ebola ni maeneo ya vijijini ambako asilimia kubwa ya wakazi ni jamii ya watu wa asili.

Hatua zachukuliwa ili Ebola isienee nchi jirani na DRC

Shirika la afya duniani WHO, limechukua hatua kuhakikisha ugonjwa wa Ebola uliolipuka huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC hauingii katika nchi 9 jirani na taifa hilo.

DRC yaridhia chanjo za majaribio kwa wagonjwa wa Ebola

Ebola! Sasa wagonjwa DRC  kuulizwa ridhaa yao iwapo wanataka wapatiwe chanjo ya majaribio dhidi ya ugonjwa huo.

DRC badilisha rasimu ya muswada kuhusu NGOs- UN

Wataalamu maalum wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameihimiza serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC iangalie upya rasimu ya muswada  kuhusu asasi za kiraia, NGOs, yenye lengo la kudhibiti kazi za mashirika hayo.