DRC

Kweli nyumbani ni nyumbani: IOM DRC

Shirika la umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM, limepokea msaada wa dola 900,000 kutoka kwa serikali ya Japan ili kuwasaidia watu 200,000 ambao wanaorejea nyumbani, wakimbizi wa ndani na jamii zinazowahifadhi katika jimbo la Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. 

Sauti -
1'27"

Nyumbani ni nyumbani hata kama kuna vita

Shirika la umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM, limepokea msaada wa dola 900,000 kutoka kwa serikali ya Japan ili kuwasaidia watu 200,000 ambao wanaorejea nyumbani, wakimbizi wa ndani na jamii zinazowahifadhi katika jimbo la Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.

Vikosi vya usalama DRC vinatumia nguvu kupindukia -UN

Takriban watu 47 mkiwemo watoto na wanawake walipoteza maisha wakati vikosi vya usalama nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC) vilipokuwa vinazima maandamano kati ya Januari Mosi 2017 na 31 Januari 2018, imesema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa. 

Sauti -
1'27"

Vikosi vya usalama DRC vyanyooshewa kidole

Takriban watu 47 wakiwemo watoto na wanawake walipoteza maisha wakati vikosi vya usalama nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC) vilipokuwa vinazima maandamano kati ya Januari Mosi 2017 na 31 Januari 2018, imesema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa. 

Muziki wabadili mtazamo wa wakimbizi wa CAR

Kupitia mfululizo wa warsha za mafunzo ya ngoma na muziki, mradi wa "Refugees on the move au Wakimbizi katika harakati," unaowezeshwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR na mashirika yasiyo ya kiserikali ya “Wasanii kwa ajili ya Maendeleo”, una lengo la kupunguza unyanyasaji katika kambi za wakimbizi na kusaidia wakimbizi kuunda uhusiano wa kijamii kupitia usanii na ngoma.

Sauti -
3'56"

Wakimbizi kambi za Tanganyika DRC hali yao taabani

Msaidizi wa Katibu Mkuu  wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya kibinadamu na kuratibu misaada ya dharura na waziri wa biashara ya nje na ushirikiano wa maendeleo wa Uholanzi, wamesema hali ya wakimbizi wa ndani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, ni mbaya sana na hatua za haraka zahitajika kunusuru watu hao. 

Sauti -
1'46"

Wakimbizi kambi za Tanganyika DRC hali yao taabani:Lowcock

Msaidizi wa Katibu Mkuu  wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya kibinadamu na kuratibu misaada ya dharura na waziri wa biashara ya nje na ushirikiano wa maendeleo wa Uholanzi, wamesema hali ya wakimbizi wa ndani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, ni mbaya sana na hatua za haraka zahitajika kunusuru watu hao. 

Mambo ya kuzingatia MONUSCO ikiongezewa muda

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemorkasia ya Congo, DRC, Leila Zerrougui ametaja mambo ya kuzingatiwa wakati muda wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo,

Sauti -
1'37"

Wanawake washirikishwe katika utatuzi wa migogoro: Zerrougui

Wakati umefika kuwawezesha  wanawake kuhusika katika shughuli za kutatua migogoro mbalimbali.

Wanawake washirikishwe katika utatuzi wa migogoro: Zerrougui

Wakati umefika kuwawezesha  wanawake kuhusika katika shughuli za kutatua migogoro mbalimbali.

Sauti -
1'10"