DR Congo

Nataka na mimi siku moja niitwe “Nellie mmiliki wa duka la kuoka mikate” 

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, mradi ulioendeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF umewezesha watoto kufungua mradi wao wa kuoka na kupika mikate, mandazi na kalmati na hivyo kuona angalau nuru ya maisha kwenye taifa hilo lililogubikwa na mizozo hususan mashariki mwa nchi.

Wakaazi wa Paida DRC waishukuru UNICEF kwa kutuondelea adha ya maji

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limewaondolea adha ya maji ya muda mrefu wakazi wa Paida jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamh

Sauti -
2'

UNICEF yasaidia DRC kuendeleza chanjo dhidi ya Surua

Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC imeendelea na kampeni ya chanjo dhidi ya milipuko ya ugonjwa wa Surua kwenye jimbo la Kivu Kaskazini, mashariki mwa nchi hiyo wakati huu ambapo taifa hilo linakabiliana pia na mlipuko wa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19.

Hatua za kulinda wanawake dhidi ya ukatilia ziko njia sahihi DRC

Mkutano  wa Kamati ya watalaam wa Baraza la Haki za Binadamu kuhusu ukomezaji wa mifumo yote ya kibaguzi dhidi ya wanawake CEDAW, unaendelea jijini Geneva Uswisi ambapo viongozi kutoka nchi mbalimbali wanajadili mikakati ya kutokomeza mifumo kandamizi kwa wanawake duniani kote. Leo Jamhuri ya Kid

Sauti -
1'55"

DRC sasa marufuku kuoa msichana wa chini ya miaka 18

Mkutano  wa Kamati ya watalaam wa Baraza la Haki za Binadamu kuhusu ukomezaji wa mifumo yote ya kibaguzi dhidi ya wanawake CEDAW, unaendelea jijini Geneva Uswisi ambapo viongozi kutoka nchi mbalimbali wanajadili mikakati ya kutokomeza mifumo kandamizi kwa wanawake duniani kote. Leo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC imeelezea jinsi wanawake walivyopiga hatua.

Ebola bado ni mtihani DRC, visa vipya zaidi ya 100:WHO

Shirika la afya duniani WHO linasema licha ya kuimarika kidogo kwa hali ya usalama maambukizi ya virusi vya Ebola Kivu Kaskazini na jimbo la Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC yameendelea kushika kasi

Amkani si shuari kufuatia mapigano mapya Kivu Kaskazini

Hali ya kutokuwepo na usalama na machafuko mapya katika jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, imelazimisha watu zaidi ya Laki Moja kufungasha virago na kuzikimbia nyumba zao mwezi Aprili kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
2'17"

Ushiriki wa jamii katika kutokomeza Ebola ni muhimu sana:WHO

Shirika la afya ulimwenguni WHO leo limeelezea hofu yake kwa washirika wake wanaochukua hatua pamoja ili kutokomeza Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kuhusu ushirika wa jamii katika vita dhidi ya ugonjwa huo hatari.

Ulinzi wa raia DRC sio usalama tu, lishe na kipato pia:Mlinda amani Liuma

Mara nyingi tunaposikia ulinzi wa amani taswira inayokuja ni kubeba mtutu, kushika doria na hata kuwafurusha waasi, lakini kumbe ni zaidi ya hayo husuasn kwa jamii husika kwa mujibu wa mlinda amani wa Tanzania kutoka kikosi maalumu cha kujibu mashambulizi FIB cha  ujumbe wa  Umoja wa Mataifa wa k

Sauti -
2'1"

Wahisani fungueni zaidi mikoba yenu mnusuru Ebola DRC - Dkt. Tedros

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la afya ulimwenguni, WHO, Dkt.

Sauti -
1'39"