Skip to main content

Chuja:

Dkt. Tedros Adhamon Ghebreyesus

Muuguzi akimpa mama chanjo dhidi ya Covid 19
© UNICEF/Zahara Abdul

WHO latoa mwongozo wa chanjo ya Monkeypox

Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO limetoa taarifa ya kupungua kwa asilimia 90 kwa vifo vitokanavyo na ugonjwa wa COVID-19, mwongozo wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Monkeypox na kueleza suala la utapiamlo katika pembe ya Afrika likisema umefika katika ngazi ya 3 ikiwa ni ngazi ya juu zaidi katika viwango vya shirika hilo. 

Dementia ni moja ya sababu kuu za ulemavu na utegemevu miongoni mwa wazee kote ulimwenguni.
WHO/Cathy Greenblat

Ulimwengu unashindwa kushughulikia changamoto ya hali ya kupoteza kumbukumbu au Dementia 

Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni, WHO iliyotolewa hii leo mjini Geneva, Uswisi yenye jina 'Hali ya ulimwengu kuhusu hatua za afya ya umma dhidi ya tatizo la kusahau',  inasema ni robo tu ya nchi zote ulimwenguni ambazo zina sera, mkakati au mpango wa kitaifa wa kusaidia watu walio na ugonjwa wa shida ya akili unaosababisha kupoteza kumbukumbu na hali nyingine kama kushindwa kufikiria vizuri.

Sauti
2'3"

Agosti 25, 2021

Katika jarida hii leo utamsikia Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni Tedros Ghebreyesus akizungumzia udhalimu wa usambazaji chanjo Afrika na nini kifanyike.

Pia utasikia mengi ikiwemo wakimbizi kutoka Afghanistan wamewasili nchini Uganda 

Sauti
11'58"
Nchini Guinea sasa kumeripotiwa homa ya virusi vya Marburg (maktaba)
WHO/Junior D. Kannah

WHO yachunguza ugonjwa wa virusi vya Marburg Guinea

Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni, WHO kwa kushirikiana na wadau wengine wa afya wanashirikiana na serikali ya Guinea kuchunguza ugonjwa mpya unaosababishwa na virusi vya Marburg ambao kwa mara ya kwanza umegundulika huko Afrika magharibi.