Siku ya mama: Sababu bora za kuwatetea akina mama - UNFPA
Kwa akina mama wengi duniani kote, mwezi wa Mei ni wakati wa kila mwaka kwao kupokea shukrani na kutambuliwa kwa yote wanayofanya.
Kwa akina mama wengi duniani kote, mwezi wa Mei ni wakati wa kila mwaka kwao kupokea shukrani na kutambuliwa kwa yote wanayofanya.
Wakati idadi ya watu duniani ikikadiriwa kuongezeka na kufikia bilioni 9 mwaka 2050 Umoja wa Mataifa imezitaka nchi kuzingatia uwiano kati ya ongezeko la idadi ya watu na maendeleo
Haki za afya ya uzazi na chaguo ni jambo la uhalisi kwa wanawake wengi hivi sasa kuliko wakati mwingine wowote, imesema ripoti mpya ya shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu, UNFPA kuhusu hali ya idadi ya watu duniani mwaka 2019 iliyotolewa leo Jumatano.