Dkt. Mukhisa Kituyi

Afrika ni lazima itumie fursa ya biashara ya mtandao ili kuendelea:UNCTAD

Biashara ya mtandao itasaidia sana kusongesha maendeleo katika nchi za Afrika na wasipoitumia fursa hiyo basi itanyakuliwa na wadau wengine kama Uchina, imesema Kamatai ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo na biashara UNCTAD.

Sauti -
1'26"

Biashara ya utumaji pesa kupitia mitandao si mali ya serikali-UNCTAD

Huduma ya mfumo wa kupokea  pesa  kutoka ughaibuni kupitia teknolojia ya mitandao na apu mbalimbali inazidi kushika kasi barani Afrika  na katika mataifa mengine yanayoinukia imesema kamati ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo na biashara UNCTAD.

Sauti -
1'27"

Nigeria na Ethiopia zachomoza kwenye kuvutia mitaji ya kigeni- UNCTAD

Mwaka 2030 ambao ni ukomo wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, hauko mbali. Umoja wa Mataifa kila uchao unaendelea na tathmini kuona lipi linapaswa kufanyika ili ahadi hiyo yenye malengo 17 iweze kufanikiwa na mafanikio hayo yawe na manufaa kwa kila mkazi wa sayari ya dunia.

Sauti -
3'58"

Uwekezaji ni muarobaini wa kufanikisha SDGs- Kituyi

Kulikoni wawekezaji wa kigeni sasa hawana tena moyo wa kuwekeza katika nchi duniani hususan zile zinazoendelea?

Pupa katika kuandaa miradi ya uwekezaji haileti mvuto kwa wawekezaji- UNCTAD

Wawekezaji wa kigeni wanasuasua kuwekeza katika nchi hususan zilizoendelea na hivyo kuweka mashakani mafanikio ya malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Sauti -
1'26"

26 Januari 2018

Sauti -
11'31"