Dkt. Mukhisa Kituyi

Mzigo wa madeni ni sumu kwa maendeleo endelevu-Kituyi

Kuendelea kuwepo kwa madeni hususan kwa mataifa yanayoendelea barani Afrika ni moja ya changamoto ambayo inakwamisha maendeleo katikabara hilo.

19 Aprili 2019

Mkutano hwa nne wa uchangishaji fedha kwa ajili ya maendeleo umefanyika juma hili kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani ukiwaleta pamoja wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mawaziri  wapatao 30 kutoka mataifa mbali mbali.

Sauti -
9'57"

14 Desemba 2018

Leo tunaanzia nchini Tanzania hususan visiwani Zanzibar ambako viongozi wa ngazi ya juu wa Umoja  wa Mataifa wamekutana na wanafamilia wa walinda amani 15 wa Tanzania waliouawa huko DR Congo mwaka mmoja uliopita.

Sauti -
12'5"

Biashara mtandaoni kiungo muhimu cha kufanikisha SDGs Afrika -UNCTAD

Afrika haitofikia malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa, SDGs iwapo haitokumbatia fursa ya kuwekeza katika biashara ya mtandao, amesema Katibu Mkuu Mtendaji wa Kamati ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo, UNCTAD Dkt. Mukhisa Kituyi wakati wiki ya mkutano wa biashara mtandaoni barani Afrika ikifunga pazia leo Jijini Nairobi Kenya.

Dkt. Kituyi-Wasiofahamu maana ya kurahisisha biashara wajifunze Morocco na Rwanda.

Kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD imesema muarobaini wa biashara barani Afrika kuchangia katika malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, ni kwa serikali kupunguza gharama za uagizaji, uzalishaji, usafirishaji pamoja tozo za ushuru zisizo na lazima.

Sauti -
2'5"

Wasiofahamu maana ya kurahisisha biashara wajifunze Morocco na Rwanda- Dkt. Kituyi

Kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD imesema muarobaini wa biashara barani Afrika kuchangia katika malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, ni kwa serikali kupunguza gharama za uagizaji, uzalishaji, usafirishaji pamoja tozo za ushuru zisizo na lazima.

Afrika yalenga kurahishisha ufanyaji biashara kimataifa

Nchi za Afrika ambazo zinalenga kupunguza gharama, muda na urasimu wa kufanya biashara ya kikanda na kimataifa zinakutana kuanzia leo huko Addis Ababa, Ethiopia, katika warsha ya kwanza kabisa ya Afrika kwa ajili ya kuunda kamati za kuwezesha biashara.

Kwa faida ya Afrika mwelekeo wa uhamiaji lazima ubadilike:UNCTAD

Madiliko kuhusu suala la uhamiaji barani Afrika ni lazima, kwani yatasaidia kwanza kubadili fikra na mtazamo kuhusu suala la uhamiaji, lakini pia kusongesha mbele gurudumu la maedeleo endelevu au SDG’s kwa mataifa ya bara hilo.

Uhamiaji Afrika si karaha bali ni faida:UNCTAD

Kuuchukulia uhamiaji kama ni tatizo si fikra nzuri , kwani unahamiaji una faida nyingi, kwa wahamiaji wenyewe lakini pia kwa jamii zinazowahifadhi, iwe katika masuala ya kiuchumi, utamaduni na hata maendeleo kwa mujibu wa Kamati ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo UNCTAD