Sajili
Kabrasha la Sauti
Katika jarida maalum hii leo Flora Nducha anakuletea
-Ikiadhimishwa siku ya kimataifa ya vijana Umoja wa Mataifa wahimiza elimu waipatayo vijana iende sanjari na hali ya sasa
-Umasikini, elimu duni na vita ni miongoni mwa sababu zinazowafanya vijana wengi kukosa elimu
Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO limesema vilabu vya Dimitra vimekuwa na mchango mkubwa katika kuchochea maendeleo vijijini na kubadili maisha ya takribani wakazi milioni 2 wa eneo hilo. Assumpta Massoi na ripoti kamili.