DAVOS. WEF2018

Tumieni fursa ya Davos kuweka bayana taswira ya Afrika- Dkt. Kituyi

Jukwaa la kiuchumi duniani likiendelea huko Davos, Uswisi, Katibu Mkuu wa Kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, Dkt. Mukhisa Kituyi ametaja umuhimu wa viongozi wa Afrika na wengineo wenye fikra endelevu kushiriki katika vikao vya aina hiyo.

Sauti -

Tumieni fursa ya Davos kuweka bayana taswira ya Afrika- Dkt. Kituyi