david shearer

Nilichokishuhudia Sudan Kusini kinasikitisha:Lowcock

Nilichokishuhudia Sudan Kusini kwa maelfu ya watu waliotawanywa kinasikitisha, amesema msaidizi wa Katibu Mkuu wa masuala ya kibinadamu Mark Lowcock ambaye leo anahitimisha ziara ya siku mbili nchini humo.

Nionacho Sudan Kusini chakatisha tamaa

Kufuatia mapigano ya hivi karibuni huko Sudan Kusini yaliyosababisha maelfu ya watu kukimbia makazi yao, Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo David Shearer amezuru maeneo hayo na

Sauti -
1'39"

Nilichoshuhudia kinakatisha tamaa- Shearer

Kufuatia mapigano ya hivi karibuni huko Sudan Kusini yaliyosababisha maelfu ya watu kukimbia makazi yao, Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo David Shearer amezuru maeneo hayo na kushuhudia hali halisi ikiwemo mtoto aliyenusurika kifo baada ya kupigwa risasi.

Mapigano yachachamaa Sudan Kusini, mchakato wa amani mashakani

Mapigano mapya yameripotiwa kwenye majimbo ya Unity, Jonglei na Equatoria ya Kati nchini Sudan Kusini na kusababisha maelfu ya raia kukimbia makazi yao huku vitendo vya ukatili wa kingono vikiripotiwa. 

Wakati ni sasa wa kumuinua mwanamke wa kijijini: Sudan Kusini

Huko Sudan Kusini maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani yaliambatana na burudani ya ngoma za asili na ujumbe wa kudumisha amani  na hasa ulinzi na usalama kwa kuwashirikisha zaidi wanawake ambao ni waathirika wakubwa wa machafuko.

Sauti -
3'45"

Baada ya kuporwa hospitali ya Tonga, huduma ni mtihani: UNMISS

Ujumbe wa Umoja wa mataifa Sudan Kusini-UNMISS-yasema kuwa  mji wa Tonga ulioko katika eneo la Upper Nile unahitaji msaada wa huduma za kiafya baada ya makundi yanayohasimiana kupora kituo pekee cha cha kiafya katika eneo hilo.

Askari watoto 300 watoka katika makundi ya waasi Sudan Kusini

Zaidi ya askari watoto 300 waliokuwa wapiganaji wakiwemo wasichana 87 leo, wameachiliwa huru na makundi kadhaa ya wapiganaji  nchini Sudan Kusini. 

UNMISS na mbinu bunifu ya kulinda raia Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -

UNMISS na mbinu bunifu ya kulinda raia Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS unatumia mbinu mpya na nafuu zaidi ya kuimarisha ulinzi kwa raia kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo.