david shearer

Mchakato wa amani Sudan Kusini unahitaji u tayari wa pande husika na msaada wa jamii ya kimataifa-Shearer

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, David Shearer amesema mchakato wa amani nchini humo unasalia kuwa, “hatarini, lakini hatua zinapigwa, ” akiongeza kuwa hatua zinategemea u tayari wa pande husika na uungwaji mkono na jamii ya kimataifa katika kuunda serikali ya mpito.

UNMISS inakwenda bega kwa bega na wakazi kuhakikisha amani Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -
2'3"

Tunasonga mbele pamoja katika kujenga amani, imani na kuaminiana-Shearer

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS na Tume iliyoundwa upya ya pamoja ya uangalizi na tathimini, JMEC wamefanya hafla maalum kwa lengo la kuchagiza amani na kuimarisha akataba wa amani wa mwezi  Septemba mwaka 2018.

Kituo kipya Kodok nchini Sudan Kusini ni ishara ya nuru gizani

Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan kusini

Sauti -
2'15"

Kituo kipya cha UNMISS kuleta nuru Kodok Sudan kusini

Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan kusini UNMISS umezindua rasmi kituo chake kipya kwenye eneo la Nile Magharibi  kwa lengo la kuchagiza na kusaidia juhudi za ujenzi wa amani na kuvutia wahudumu wa masuala ya kibinadamu.

Kapoeta yaonesha mfano wa maridhiano Sudan Kusini

Ujumbe wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa umekuwepo kwenye mji wa Kapotea jimbo la Namorunyang  nchini Sudan Kusini kwa lengo la kuimarisha ujenzi wa amani na hatimaye wakazi wake waliokimbia kutokana na mapigano waweze kurejea. Jason Nyakundi na taarifa zaidi.

Sauti -
2'10"

Nuru ya amani yamulika mji wa Kapoeta nchini Sudan Kusini

Ujumbe wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa umekuwepo kwenye mji wa Kapotea jimbo la Namorunyang  nchini Sudan Kusini kwa lengo la kuimarisha ujenzi wa amani na hatimaye wakazi wake waliokimbia kutokana na mapigano waweze kurejea.
 

Wanawake Sudan Kusini washukuru kuwepo kwa vituo salama vilivyoanzishwa na UN

Vituo salama vilivyoanzishwa na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuepusha wanawake na wasichana dhidi ya ukatili wa kijinsia nchini Sudan Kusini vimekuwa muarobaini na mwokozi kwa makundi hayo.

Kiu ya amani Sudan Kusini ni dhahiri- Shearer

Mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan kusini, David Shearer, ametembelea eneo la Bahr El Ghazal nchini humo ambako amekuwa na mazungumzo na viongozi kuhusu masuala mbalimb

Sauti -
1'43"

Kiu ya amani Sudan Kusini ni dhahiri- Shearer

Mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan kusini, David Shearer, ametembelea eneo la Bahr El Ghazal nchini humo ambako amekuwa na mazungumzo na viongozi kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa mkataba wa amani, kusaidia wakimbizi wa ndani kurejea kwa hiyari katika maeneo yao na pia kuhusu suala la usalama katika ukanda huo.