david shearer

UNMISS: Wiki hii tuna mpango wa kutuma walinda amani kote Sudan Kusini.

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, ambaye pia ni mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo,

Sauti -
2'12"

Wiki hii tuna mpango wa kutuma walinda amani kote Sudan Kusini-David Shearer

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, ambaye pia ni mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo, UNMISS, David Shearer, akizungumza na vyombo vya habari katika mji mkuu Juba, ameonya kuwa utekelezaji polepole wa makubaliano ya amani yaliyosainiwa mnamo mwaka 2018 unaleta tishio moja kwa moja kwa amani ambayo tayari ni dhaifu katika taifa hilo jipya zaidi ulimwenguni.

Hatua ya viongozi wa Sudan Kusini kuweka maslahi ya nchi mbele inatumainisha- Shearer

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudani Kusini David Shearer amesema hatua kuelekea mchakato wa amani nchini humo zimepigwa kufuatia, "utayari wa kisiasa wa watu wawili ambao wameweka mbele matakwa ya nchi yao ."

Majeshi ya upinzani na yale ya serikali nchini Sudani Kusini yaanza kujumuika pamoja.

Hatimaye mpango wa kujumuisha vikosi vya upinzani kwenye jeshi la Sudan Kusini umeanza kutekelezwa ikiwa ni katika kutekeleza makubaliano mapya ya amani yaliyotiwa saini mwezi Septemba mwaka 2018.

Sauti -
2'19"

Vikosi vya upinzani Sudan Kusini vyaanza kujumuishwa kwenye jeshi la kitaifa

Hatimaye mpango wa kujumuisha vikosi vya upinzani kwenye jeshi la Sudan Kusini umeanza kutekelezwa ikiwa ni katika kutekeleza makubaliano mapya ya amani yaliyotiwa saini mwezi Septemba mwaka 2018.

UNMISS yasema; hatutochoka hadi mabomu yote ya kutegwa ardhini yateguliwe Sudan Kusini

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya huduma za kutegua mabomu ya kutengwa ardhini UNMAS, mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan kusini

Sauti -
2'11"

Hatutochoka hadi mabomu yote ya kutegwa ardhini yateguliwe Sudan Kusini:UNMISS

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya huduma za kutegua mabomu ya kutengwa ardhini UNMAS, mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan kusini UNMISS na serikali ya Japani wamesema hawatopumzika hadi pale mabomu yote ya kutengwa ardhini nchini sudan kusini  yatakapoteguliwa. 

Mfuko wa wadhamini waleta matumaini kwa wakazi wa Koch, Sudan Kusini

Mfuko mpya wa udhamini ulioanzishwa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -
2'25"

Naona nuru Koch, Sudan Kusini nina hakika hatutakimbia tena na watoto wetu- Bi. Nyakuaikoch

Mfuko mpya wa udhamini ulioanzishwa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS pamoja na wahisaji unaleta  matumaini mapya kwa wakazi wa kaunti ya Koch jimboni Unity nchini humo. 

04 NOVEMBA 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea 

-UN na wadau walaani shambulio Ituri lililosababisha kifo cha mhudumu wa kijamii aliyekuwa anashughulika na masuala ya Ebola

Sauti -
11'38"