DAU LA PLASTIKI

Dau la plastiki ladhihirisha #BahariSalama yawezekana

Baada ya siku 14 za kupasua mawimbi kwenye bahari ya Hindi kutoka Kenya hadi Tanzania, hatimaye dau lililotengenezwa kwa taka za plastiki lilitia nanga Mji Mkongwe huko kisiwani  Unguja, Zanzibar Tanzania tarehe 7 mwezi Februari kwa mafanikio makubwa.

Kumalizika kwa safari ya Flip Flopi sio mwisho wa uhamasishaji kuhusu plastiki:UNEP

Dau la FlipFlopi lililojengwa na Ali Skanda kwa tani elfu 10 za taka za plastiki wiki iliyopita lilihitimisha ziara yake ya kuelimisha jamii kuhusu athari za taka za plastiki kwa siku 14.

Sauti -
3'40"

Dau la plastiki latia nanga mji mkongwe Zanzibar

Hatimaye dau la plastiki lililosafiri kilometa 500 kutoka Lamu, nchini Kenya hadi Mji Mkongwe, Zanzibar nchini Tanzania limetia nanga Unguja likiwa limetimiza azma yake ya  kuelimisha jamii zilipo pwani kwa Kenya na Tanzania kuhusu madhara ya plastiki kwa binadamu, mazingira na viumbe vya majini.

Sauti -
2'33"

07 Februari 2019

Dau la plastikI latia nanga mji mkongwe Zanzibar.

Sauti -
13'16"

Dau la plastiki latia nanga mji mkongwe Zanzibar

Hatimaye dau la plastiki lililosafiri kilometa 500 kutoka Lamu, nchini Kenya hadi Mji Mkongwe, Zanzibar nchini Tanzania limetia nanga Unguja likiwa limetimiza azma yake ya  kuelimisha jamii zilipo pwani kwa Kenya na Tanzania kuhusu madhara ya plastiki kwa binadamu, mazingira na viumbe vya majini. 

Safari ya dau la plastiki ni ujumbe kwa ulimwenguni kuwa tupambane na plastiki-Ali Skanda

Hatimaye dau la plastiki limeanza safari yake ya kilometa 500 kutoka Mombasa Kenya hadi Zanzibar Tanzania.  Katika makala hii  mbunifu wa dau hilo bwana Ali Skanda anaeleza kulikoni dau la plastiki? lengo lake hasa ni nini? 
Sauti -
5'42"