Kuna matumaini kwenye majadiliano ya mabadiliko ya tabianchi-COP24
Majadiliano ya mbinu za kupambana na mabadiliko ya tabianchi yanaendelea mjini Katowice nchini Poland huku washiriki wakionyesha matumaini ya azma ya mkutano huo wa 24 wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi au COP24.