CSW63

Najitahidi kuongea na barbaru ili waepuke vishawishi na kutimiza ndoto-Bi. Maina

Mimba za utotoni ni moja ya changamoto zinazokabili barubaru katika jamii nyingi duniani ambapo shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA

Sauti -
4'33"

20 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Arnold Kayanda anakuletea

-Zahma ya mafuriko Kusini mwa Afrika yaendelea Msumbiji yatangaza siku tatu za maombolezo na mfumo wa Umoja wa Mataifa CERF wato dola milioni 20 kusaidia

Sauti -
14'22"

Dini ina mchango mkubwa katika ukombozi wa mwanamke Rwanda:Mchungaji Mwakasungura

Dini kama ilivyo na uwezo wa kuwaleta watu pamoja vivyo hivyo ina uwezo wa kumkomboa mwanamke sio Rwanda tu bali duniani kote.

Sauti -
4'17"

Wanawake kutokuwa na sauti kunachochea ndoa za utotoni na ukeketaji Kajiado, Kenya- Bi. Parit

Mkutano wa kamisheni ya hali ya wanawake kikao cha 63 unaendelea hapa New York, Marekani ambapo vikao mbali mbali vinafanyika katika kupaza sauti za wanawake na kujadili changamoto wanazokabiliana nazo lakini pia jinsi ya kuzitatua.

Sauti -
2'2"

19 Machi 2019

WFP yasema zahma ya mafuriko Msumbiji inaongezeka kwa saa. WFP na serikali wachunguza madai ya kutiwa sumu katika chakula cha WFP Uganda. Mkutano wa kamisheni ya hali ya wanawake kikao cha 63 ukiendelea mjini New York, Marekani,  Dorcus Parit, mwanzilishi na mkurugenzi wa kituo kinachowahifadhi w

Sauti -
11'58"

Wanawake kutokuwa na sauti kunachochea ndoa za utotoni na ukeketaji Kajiado, Kenya- Bi. Parit

Mkutano wa kamisheni ya hali ya wanawake kikao cha 63 unaendelea hapa New York, Marekani ambapo vikao mbali mbali vinafanyika katika kupaza sauti za wanawake na kujadili changamoto wanazokabiliana nazo lakini pia jinsi ya kuzitatua.

Miundombinu ya kisheria imesaidia kumnasua mwanamke na mtoto wa kike Tanzania- Dkt. Jingu

Mkutano wa 63 wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani, CSW ukiendelea kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani, wajumbe kutoka nchi mbalimbali wanajinasibu na kile ambacho wanafanya kuimarisha usawa wa jinsia na kumsongesha mwanamke na mtoto wa kike.

Sauti -
4'14"

Wanawake Kenya wana mchango mkubwa Kenya katika amani ya kudumu:CSW63

Kenya wamechukua jukumu la kuchagiza amani na kuanzisha kikundi cha kusongesha harakati za kuleta amani kwa jina la Embrace uchagizaji unaofanywa na wanawake. Mmoja wa wanawake wanaoshiriki harakati hizo ni, Bi Ida Odinga ambaye ni mwenyekiti wa kundi hilo la Embrace

Sauti -
2'39"

18 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anamulika 

-Mchango wa wanawake katika amani ya kudumu Kenya

-Upokonywaji wa rasilimali za Palestina unaofanywa na Israel ni ukiukwaji wa haki za binadamu yasema UN

Sauti -
12'55"

Mchango wa wanawake katika amani ya kudumu Kenya ni dhahiri-Embrace

Mkutano wa 63 wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani, CSW63 umeingia siku ya sita hii leo Jumatatu kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani ambako kunafanyika mikutano kando ikiratibiwa na nchi wanachama ili kuonyesha kwa kina kile inachofanya mashinani kumnasua mwanamke.