CPD52

Vijana tunawaandaa ili waepukane na vishawishi potofu- KKKT

Matizo la uhamiaji ni moja ya changamoto kubwa katika kufanikisha ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030 umesema mkutano wa 52 wa Umoja wa Mataifa wa Kamisheni ya idadi ya watu na maendeleo CPD ambao unafunga pazia hii leo. 

Sauti -
6'7"

Kukiwa na mipango vijana hawatoenda kusaka hifadhi ughaibuni:CPD

Tatizo la uhamiaji ni moja ya changamoto kubwa katika kufanikisha ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030 umesema mkutano wa 52 wa Umoja wa Mataifa wa Kamisheni ya idadi ya watu na maendeleo CPD ambao unafunga pazia hii leo. 

05 Aprili 2019

Jaridani Aprili 5 na Arnold Kayanda

Sauti -
11'5"

Utoaji taarifa na vyombo vya habari muhimu katika kuhakikisha ulinzi wa wasichana na wanawake-IPPFA

Takwimu za Umoja wa Mataifa zinaonesha kwamba asilimia 78 ya wanawake walio ndani ya ndoa au wanaoishi katika mazingira ya ndoa wanaweza kupata huduma za mpango wa uzazi, hii ikiwa ni ongezeko la asilimia 72 tangu mwaka 1994, lakini idadi hiyo inapungua hadi chini ya asilimia 50 katika mataifa 44

Sauti -
2'25"

Utoaji taarifa na vyombo vya habari muhimu katika kuhakikisha ulinzi wa wasichana na wanawake-IPPFA

Takwimu za Umoja wa Mataifa zinaonesha kwamba asilimia 78 ya wanawake walio ndani ya ndoa au wanaoishi katika mazingira ya ndoa wanaweza kupata huduma za mpango wa uzazi, hii ikiwa ni ongezeko la asilimia 72 tangu mwaka 1994, lakini idadi hiyo inapungua hadi chini ya asilimia 50 katika mataifa 44, mengi yakiwa Afrika  kusini mwa jangwa la Sahara na mataifa ya kusini mwa visiwa vya pacific.