Machozi ya furaha watoto wa jiji la Argentina wanapokutana na mazingira ya asili kwa mara ya kwanza
Mwanasheria wa masuala ya mazingira ameiambia UN News jinsi watoto na vijana kutoka baadhi ya vitongoji vilivyo hatarini zaidi vya Buenos Aires, mji mkuu wa Argentina, wametokwa na machozi baada ya kukutana na mazingira ya asili kwa mara ya kwanza.