Chekechea

15 Agosti 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Assumpta Massoi anakuletea 

Sauti -
11'58"

Ukitaka ushindani katika uchumi kesho, wekeza leo katika katika elimu ya awali ya watoto-UNICEF

Ripoti iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF mjini New York Marekani imeonya kuwa zaidi ya watoto milioni 175, yaa

Sauti -
2'31"

10 Aprili 2019

Idadi kubwa ya wanawake bado hawana sauti ya maamuzi kuhusu miili yao yasema ripoti ya UNFPA.  Nayo ripoti ya

Sauti -
11'56"

Ukitaka ushindani katika uchumi kesho, wekeza leo katika katika elimu ya awali ya watoto-UNICEF

Ripoti iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF mjini New York Marekani imeonya kuwa zaidi ya watoto milioni 175, yaani nusu ya watoto wote wanaotakiwa kuwa katika shule za awali kote duniani, hawasajiliwa katika elimu ya awali au chekechea na hivyo wanakosa fursa ya uwekezaji muhimu na kukosa usawa kuanzia mwanzo.

Malengo ya SDGs sasa pia ni kwa watoto kupitia kanuti:UN

Umoja wa Mataifa kwa ushirikiano na kampuni ya Mattel, Inc.,umezindua aina mpya ya  mawasiliano  ya kufikisha ujumbe wa  malengo ya maendeleo endelevu , SDGs kwa watoto wa shule za Chekechea.