Chakula

Nchi nyingi zaidi kuendelea kuhitaji msaada wa chakula- Ripoti

Mizozo inayoendelea katika maeneo mbalimbali duniani pamoja na hali mbaya ya hewa vimesababsisha kuongezeka kwa idadi ya nchi zinazohitaji msaada wa chakula.