Chombo chaundwa kujumuisha watu wa asili kwenye uhifadhi wa bayonuai
Mkutano wa 16 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Bayonuai ,COP16 umefunga pazia Ijumaa huko Cali nchini Colombia ukipitisha makubaliano ya kwanza kabisa kutokea ikiwemo takwimu za kijenetiki za mazingira na pia kutambua watu wenye asili ya Afrika na watu wa jamii ya asili kuwa wachechemuzi wa juhudi za uhifadhi wa mazingira.