Cairo

Hatua tulizopiga miaka 25 iliyopita hazitoshi, mamilioni ya wanawake na wasichana wanasalia nyuma- Bi. Mohammed

Hatua iliyopigwa kwa miaka 25 tangu kupitishwa azimio la kihistoria la Cairo 1994 la hatua za kumkomboa mwanamke na mtoto wa kike bado mchakato ni tete na mamilioni wanaachwa nyuma amesema naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini Nairobi Kenya.  

Miaka 25 baada ya ICPD, huduma bora za afya ya uzazi kwa vijana bado ni ndoto- Banice

Hii leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani, jukwaa la ngazi ya juu la kisiasa, HLPF, limeendelea likiangazia masuala kadhaa ikiwemo maadhimisho ya miaka 25 tangu kufanyika kwa mkutano wa kimataifa wa idadi ya watu na maendeleo, ICPD, huko mjini Cairo nchini Misri.

Misri ni mshirika muhimu katika kuhakikisha amani na kazi za UN-Guterres

Misri ni mshirika muhimu wa Umoja wa Mataifa na ina mchango mkubwa katika amani na usalama kwenye  ukanda huo na ushirikiano wetu na pia Misri ni muhimu katika kutekeleza kazi zetu za Umoja wa Mataifa.

Viongozi wanaotumia tofauti kugawa watu wapingwe kwa nguvu zote- Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ambaye yuko ziarani nchini Misri amesema katika zama za sasa zilizogubikwa na misukosuko ni vyema kujikita katika kile kinachounganisha

Sauti -
1'42"

Viongozi wanaotumia tofauti kugawa watu wapingwe kwa nguvu zote- Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ambaye yuko ziarani nchini Misri amesema katika zama za sasa zilizogubikwa na misukosuko ni vyema kujikita katika kile kinachounganisha binadamu badala ya kile kinachowatofautisha.