CAG

Profesa Assad asema kuwa kutotekeleza mapendekezo ya ripoti ni jambo la kusikitisha

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali nchini Tanzania, CAG Profesa Musa Assad amezungumzia kitendo cha baadhi  ya ripoti zinazoonyesha  ubadhirifu kutoshughulikiwa ipasavyo na Bunge la nchi hiyo. 

Sauti -
1'30"

27 Desemba 2018

Jaridani hii leo tunaanzia huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako tathmini inaonyesha kuwa mwaka 2018 pekee zaidi ya watu milioni 1 walifurushwa makwao kutokana na mzozo nchini humo.

Sauti -
12'31"

04 Desemba 2018

Migogoro na mabadiliko ya tabia nchi vyaendeleza zahma ya kibinadamu duniani yasema ripoti ya OCHA. Tanzania iimarishe hatua kuepuka mgongano wa maslahi kwenye utendaji anasema CAG Profesa Mussa Assad. Ulemavu wa kutokuona haujazima ndoto zao za kuwa walimu, ni taarifa kutoka Lebanon ikiwaongelea

Sauti -
11'52"

Japo inajitahidi, Tanzania bado ina kibarua cha kutimiza SDG’s: Assad

Tanzania imepiga hatua katika utimizaji wa malengo ya maendeleo endelevu yaani SDGS, lakini inakabiliwa na changamoto lukuki ambazo zisiposhughulikiwa malengo hayo hayatotimia ipasavyo.

Sauti -
10'25"

25 Julai 2018

Jarida la leo na Flora Nducha limejaa taarifa za kufurahisha na kufurahisha.

Sauti -
11'27"

Baada ya miaka 6 Tanzania yaaga UNBOA na kukabidhi ujumbe kwa Chile

Tanzania imemaliza muda wake wa miaka sita wa kuwa mjumbe wa Bodi ya ukaguzi wa hesabu ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) na kukabidhi kijiti hicho kwa nchi ya Chile.