braille

Habari kwa Ufupi 04-Januari-2018

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya maandishi ya nukta nundu ambayo hutumiwa na watu wenye ulemavu wa kutoona, Umoja wa Mataifa unapigia chepuo maandishi hayo ambayo ni njia muhimu ya mawasiliano kwa kundi hilo.

Sauti -
1'38"

04 Januari 2019

Hii leo siku ya Ijumaa tunakuleteta Jarida mahsusi likiwa na uchambuzi wa kina wa mada moja ambayo leo ni Biashara Mtandao.

Sauti -
10'41"

Maandishi ya nukta nundu ni muarobaini wa kujumusha kwenye  jamii wasioona na wenye uoni hafifu

Leo ni siku ya kimataifa ya maandishi ya nukta nundu ambayo hutumiwa na watu wenye ulemavu wa kutoona.