boda boda

Mlipuko mpya wa COVID-19 watishia ndoto za vijana Uganda

Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO kanda ya Afrika hivi karibuni ilionya kuwa awamu ya pili ya janga la ugonjwa wa Corona au

Sauti -
3'54"

Kazi ya bodaboda imeboresha maisha yangu na mume wangu-Cecilia Paul

Pamoja dunia hivi sasa kuwa na changamoto mpya kama mlipuko wa ugonjwa COVID-19, lakini mipango ya muda mrefu inaendelea kutekelezwa ili kutimiza kusudio kuu la kuyatimiza kwa ukamilifu maleng

Sauti -
3'45"

16 APRILI 2020

Miongoni wa habari ambazo Flora Nducha anakuletea katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo

Sauti -
12'32"

Mama bodaboda: Usiache mila na desturi zikazima ndoto zako.

Kutana na mwanamke wa shoka Palagie Gerald ali maarufu kama mama bodaboda kutoka nchini Kenya anayesema hakuna kazi ya mwanaume wala mwanamke ukidhamiria, kulikoni?.

Sauti -
1'31"

Usiache mila na desturi zikazima ndoto zako:Mama Bodaboda

Kutana na mwanamke wa shoka Palagie Gerald ali maarufu kama mama bodaboda kutoka nchini Kenya anayesema hakuna kazi ya mwanaume wala mwanamke ukidhamiria, kulikoni?.

12 FEBRUARI 2020

Katika Jarida la Habari hii leo anold Kayanda kutoka Umoja wa Mataifa anakuletea

Sauti -
11'36"

Mradi wa UNICEF wa mafunzo kwa waendesha boda boda ni nuru kwa wanawake wajawazito Uganda

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa kushirikiana na taasisi ya Sweden kwa ajili ya maendeleo ya kimataifa imeanzisha mfumo wa usafiri wa boda boda kwa ajili ya kusafirisha wanawake na watoto hadi kwenye vituo vya afya.

Bodaboda nayo yaweza imarisha amani Sudan Kusini

Amani na Usalama ni mambo yanayoenda pamoja na ndivyo hivyo ambavyo Umoja wa Mataifa umetumia mbinu mpya ya kuwajumuisha waendesha bodaboda huko Sudan Kusini ili wawe sehemu ya kuchagiza na kueneza amani kwenye nchi hiyo ambayo tangu disemba 2013 vuta nikuvute imeshamiri.