Benki ya Dunia

Benki ya Dunia yamsaidia mama kujikwamua kutoka umasikini.

Kutana na Fatima Haja, mkulima kutoka Yemen ambaye baada ya mumewe na mwanaye mkubwa wa kiume kufariki Dunia alilazimika kubeba jukumu la kulea familia peke yake na kibarua hicho hakikuwa rahisi. 

Sauti -
1'45"

Asante Benki ya Dunia kwa kunitoa katika umasikini:

Kutana na Fatima Haja, mkulima kutoka Yemen ambaye baada ya mumewe na mwanaye mkubwa wa kiume kufariki dunia alilazimika kubeba jukumu la kulea familia peke yake na kibarua hicho hakikuwa rahisi. Sharifa Kato mwanafunzi wa mafunzo ya vitendo hapa kwenye Umoja wa Mataifa anasimulia safari ya mama huyo.

Mwalimu wa hisabati ageukia ujasiriamali Lesotho

Benki ya Dunia kupitia miradi mbalimbali imekuwa mstari wa kuchagiza maendeleo ya wananchi katika nchi zinazoendelea. Miongoni mwa wanufaika iwe mijini au vijijini ni  wanawake ambao kupitia miradi hiyo hupatiwa  mafunzo ikiwemo ya ujasiriamali.

Sauti -
3'23"

Dola milioni 17 kukwamua vijana Ukanda wa Gaza

Benki ya Dunia imetangaza mkopo nafuu wa dola milioni 17 kwa ajili ya mradi wa kusaidia vijana wasio na ajira huko ukanda wa Gaza Mashariki ya kati kujipatia kipato na kuweza kuajirika.

Elimu kwa wasichana ni muhimu

Fursa finyu za elimu kwa watoto wa kike pamoja na vikwazo vya kumaliza miaka 12 ya elimu husababisha nchi husika kupoteza kati ya a dola trilioni 15 hadi trilioni 30 ambazo zingalichangiwa na watoto hao kupitia nguvu kazi katika jamii zao. 

Sauti -
1'58"

Matrilioni ya dola yapotea kwa kutomsomesha mtoto wa kike- ripoti

Nchi nyingi duniani hususan zile za kipato cha chini bado zinaona si mtaji kumpeleka shule mtoto wa kike, jambo ambalo hii leo Benki ya Dunia inasema limepitwa na wakati, kwa kuwa ukiwekeza kwa mtoto wa kike umewekeza kwa dunia nzima.

Huduma duni za afya ni kwa nchi tajiri na maskini- Ripoti

Huduma duni za afya zinakwamisha maendeleo ya kuboresha afya katika nchi  bila kujali vipato vyao, imesema ripoti mpya iliyotolewa leo na Umoja wa Mataifa na wadau wake. 

Ukarimu wa Bangladesh umeleta nuru kwa warohingya

Akiwa mjini Dhaka, nchini  Bangladesh hii leo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema mshikamano na wananchi wa Bangladesh pamoja na serikali yao ni muhimu kutokana n

Sauti -
2'37"

Kumaliza vita ndio muarobaini wa njaa duniani

Mizozo na vita vinashika kasi kila uchao kwenye maeneo mbalimbali duniani. Katika mazingira hayo uzalishaji wa chakula ni tatizo, halikadhalika usafirishaji wa mazao ya chakula. Fedha nyingi hutumika kununua chakula cha msaada. 

IOM na Benki ya Dunia zashirikiana kukwamua wahitaji duniani

IOM na Benki ya Dunia sasa kushirikiana kwenye maeneo  ya kuboresha  ustawi wa kibinadamu.