Beni

Watu 86 waambukizwa Ebola nchini DRC kila wiki- WHO

Maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC yameendelea wiki hii katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Ituri kwa wastani wa wagonjwa 86 kila wiki, ikiwa ni sawa na wiki zilizotangulia.

Amkani si shuari kufuatia mapigano mapya Kivu Kaskazini

Hali ya kutokuwepo na usalama na machafuko mapya katika jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, imelazimisha watu zaidi ya Laki Moja kufungasha virago na kuzikimbia nyumba zao mwezi Aprili kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
2'17"

Watu zaidi ya 100,000 wafurushwa na mapigano mapya Kivu Kaskazini:UNHCR

Hali ya kutokuwepo na usalama na machafuko mapya katika jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, imelazimisha watu zaidi ya Laki Moja kufungasha virago na kuzikimbia nyumba zao mwezi April kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.

Kliniki  ya macho Beni nchini DRC yasaidia manusura wa Ebola

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo, DRC shirika la afya ulimwenguni WHO kwa kushirikiana na Wizara ya afya pamoja na vyuo vikuu viwili kutoka Marekani w

Sauti -
1'49"

11 Aprili 2019

Licha ya mapigano Libya, WHO yaendelea kupeleka vifaa vya matibabu, Kliniki  ya macho Beni nchini DRC yasaidia manusura wa Ebola, Mpango wa kunusuru kaya mask

Sauti -
13'6"

Kliniki  ya macho Beni nchini DRC yasaidia manusura wa Ebola

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo, DRC shirika la afya ulimwenguni WHO kwa kushirikiana na Wizara ya afya pamoja na vyuo vikuu viwili kutoka Marekani wanasaidia manusura wa Ebola kujiepusha na ugonjwa wa macho.

WHO yatoa elimu ya kujikinga na Ebola mashuleni DRC

Shirika la afya ulimwenguni , WHO limeamua kutoa elimu ya kujikinga na maambuzi ya Ebola kwa watoto mashuleni lengo likiwa kuelimisha kadri iwezekanavyo kuaka

Sauti -
1'38"

Watoto wanauliza kila kitu kuhusu Ebola na wanapeleka ujumbe kwa wazazi wao.

Shirika la afya duniani WHO linafanya juhudi za kusambaza elimu kuhusu kujikinga na ugonjwa wa Ebola katika shule na maeneo ambayo yameathirika na mlipuko wa hivi karibuni nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Hatua za Benki ya Dunia dhidi ya Ebola DRC zazaa matunda

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC harakati zinaendelea ili kutokomeza mlipuko wa Ebola unaoelezwa kuwa ni wa pili kwa ukubwa kuwahi kukumba taifa hilo la Maziwa Makuu.Benki ya Dunia inasaidia sambamba na manusura wa ugonjwa huo wako mstari wa mbele kama anavyosimulia Grace Kaneiya.

Ulinzi wa raia DRC sio usalama tu, lishe na kipato pia:Mlinda amani Liuma

Mara nyingi tunaposikia ulinzi wa amani taswira inayokuja ni kubeba mtutu, kushika doria na hata kuwafurusha waasi, lakini kumbe ni zaidi ya hayo husuasn kwa jamii husika kwa mujibu wa mlinda amani wa Tanzania kutoka kikosi maalumu cha kujibu mashambulizi FIB cha  ujumbe wa  Umoja wa Mataifa wa k

Sauti -
2'1"