Mradi wa UNICEF Kenya wa mwangaza mashinani waleta nuru gizani
Nchini Kenya, mradi wa pamoja kati ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF na wadau wake wa kupatia nishati ya sola kwa wakazi wenye kipato duni vijijini umekuwa ni sawa na kauli ya wahenga wa jiwe moja kuua ndege wawili badala ya ndege mmoja kama ilivyotarajiwa hapo awali. Grace Kaneiya na ripoti kamili.
(Taarifa ya Grace Kaneiya)
Nats…