Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Bila kukabiliana na hali ya jangwa umasikini hauwezi kumalizika:UM

Wakuu wa nchi wanaokutana kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa leo wamejadili utekelezaji wa mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na hali ya jangwa hasa katika nchi zinazokabiliwa na ukame mkubwa hususani barani Afrika.

Sauti -

Bila kukabiliana na hali ya jangwa umasikini hauwezi kumalizika:UM

Rais Nkurunziza akatisha safari kwenye UM baada ya mauaji nchini Burundi

Watu wasiopungua 40 wameuwawa nchini Burundi katika shambulio la watu wenye silaha kwenye wilaya ya Gatumba nje kidogo ya mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura . Serikali ya Burundi imetangaza msiba wa kitaifa na maombolezo kwa siku tatu.

Sauti -

Rais Nkurunziza akatisha safari kwenye UM baada ya mauaji nchini Burundi

Kuzuia maradhi yasiyo ya kuambukiza ni rahisi kuliko kutibu:Ban