Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Wakimbizi wa ndani 600,000 wanakabiliwa na shida Haiti:Amos

Wakimbizi wa ndani 600,000 wanakabiliwa na shida Haiti:Amos

Takriban wakimbizi wa ndani 600,000 waliosambaratishwa na tetemeko la ardhi la mwaka jana nchini Haiti wako katika hatari ya kukabiliwa na njaa, kipindupindu na majanga ya asili amesema mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Uchumi wa kimataifa usiokumbatia uzembe unahitajika(GA 66)

Uchumi wa kimataifa usiokumbatia uzembe unahitajika(GA 66)

Serikali kote duniani zimetakiwa kujitahidi kuchangia uchumi wa dunia ambao utaleta mustakhabali mzuri na sio kuwatunuku wasiojali. Wito huo umetolewa na Thomas Stelzer naibu katibu mkuu wa kamati ya pili inayohusika na masuala ya uchumi ambayo imeaanza kazi yake.

Sauti -

Maradhi yasiyo ya kuambukiza ni changamoto Tanzania:Mponda

Maradhi yasiyo ya kuambukiza ni changamoto Tanzania:Mponda

Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yaani NCD's kama saratani, kisukari, maradhi ya moyo na matatizo ya kupumua sasa yamekuwa changamoto kubwa kwa mataifa yanayoendelea.

Sauti -

China yataka nchi za G 20 kuwa mshirika muhimu kwenye uchumi wa dunia

China yataka nchi za G 20 kuwa mshirika muhimu kwenye uchumi wa dunia

Fungamano na nchi 20 ambazo ziko kwenye alama ya usoni kuchipukia kwenye masuala ya uchumi wa viwanda na maendeleo jumla ya kiuchumi, zinapaswa kuwa na sauti kubwa kwenye masuala ya uchumi wa dunia.

Sauti -

Kuzingatia muda na mpangilio yamenifurahisha UM:Chuwa