Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

UNMISS yaimarisha doria ili kulinda raia Sudan Kusini

Mwaka 2017 joto lilifurutu ada:WMO

Ni dhahiri kwamba mabadiliko ya tabia nchi yanayochangiwa na ongezeko la hewa ukaa yanaendelea, kwani mwaka 2015, 2016 na 2017 imethibitishwa kuwa ni miaka mitatu iliyovunja rekodi ya kuwa na joto la kupindukia katika historia.

Sauti -

Uwazi utasaidia kuondoa shuku juu ya silaha za maangamizi- Guterres

Tishio la matumizi ya silaha za maangamizi linaongezeka kila uchao licha ya juhudi za kimataifa za kudhibiti na hatimaye kutokomeza matumizi ya silaha hizo.

Sauti -

WHO na Kenya zahaha kudhibiti Chikungunya huko Mombasa

Nchini Kenya, harakati bado zinaendelea kudhibiti mlipuko wa homa ya Chikungunya huko Mombasa ambako hadi sasa watu 27 kati ya 154 wamethibitishwa kuambukizwa ugonjwa huo.

Sauti -

Dunia ni lazima ishikamane na kuwa na ujasiri 2018:Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ameyataka mataifa duniani kuwa na kile alichoita umoja na ujasiri katika vita vya dhidi ya mgogoro unaondelea pamoja alichokiita hatari mpya.

Sauti -

Baada ya mwaka sasa msaada wafikia jamii Wau:IOM

Raia wa Sudan Kusini hususan waishio kusini mwa mji wa Wau wameanza tena kupata msaada mwaka moja baada ya mawasiliano kukatwa  katika eneo hilo kutokana na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Flora Nducha na taarifa kamili

(TAARIFA YA FLORA)

Sauti -

Guterres alaani mashambulizi ya kigaidi Baghdad leo

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali mashambulizi mawili ya kigaidi yaliyoptokea leo mjini Baghdad nchini Iraq.

Sauti -

Guterres alaani mashambulizi ya kigaidi Baghdad leo

UN na AU walaani ukiukwaji wa mkataba Sudan Kusini

Muungano wa Afrika AU na Umoja wa Mataifa kwa pamoja wamelaani vikali ukiukwaji wa mkataba uliotiwa saini Disemba 21 mwaka 2017 kwa ajili ya usitishaji uhasama, ulizni wa raia na upatikanaji wa fursa ya kufikisha misaada ya kibinadamu Sudan Kusini.

Sauti -