Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

CERF yaridhia dola milioni 50 kwa ajili ya Yemen

Umoja wa Mataifa umeridhia dola milioni 50 kwa ajili  ya kuboresha hali ya kibinadamu nchini Yemen.

Fedha hizo zimetoka mfumo wa dharura wa Umoja wa Mataifa, CERF ambapo mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya usaidizi wa majanga, Mark Lowcock amesema fedha hizo zitaokoa maisha.

Sauti -

UN kuimarisha utawala wa sheria Haiti- MINUJUSTH

UN kuimarisha utawala wa sheria Haiti- MINUJUSTH

Ujumbe mpya wa  Umoja wa Mataifa nchini Haiti MINUJUSTH,umeanzisha  mbinu mpya ya kuimarisha utawala wa sheria na kuunga mkono vikosi vya usalama  nchini humo.Mbinu  hizo ni pamoja na utekelezaji wa  ulinzi shirikishi baina ya  vyombo vya usalama, asasi za kiraia, vyiongozi wa kisiasa na wananc
Sauti -

Maandamano Iran, UM unafuatilia kwa uangalifu

UN yafuatilia maandamano Iran

Umoja wa Mataifa umesema unafuatilia kwa karibu hali inayoendelea nchini Iran ambako maandamano yanayodaiwa kuwa ni ya kupinga serikali yameingia siku ya tano huku watu 22 wakiripotiwa kuuawa.

Sauti -