Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Mwaka mmoja tangu kuzuka machafuko Yemen mfumo wa afya unasambaratika:WHO

Mwaka mmoja wa machafuko nchini Yemen umesababisha kuzorota kwa hali ya kibinadamu na mfumo wa afya unasambaratika limesema shirika la afya duniani WHO.

Sauti -

Makubaliano mapya kati ya EU na Uturuki kuhusu wakimbizi huenda yakawaweka watoto hatarini: UNICEF

Makubaliano mapya kati ya EU na Uturuki kuhusu wakimbizi huenda yakawaweka watoto hatarini: UNICEF

Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limeelezea wasiwasi wake kwamba makubaliano mapya baina ya Muungano wa Ulaya na Uturuki amb

Sauti -

Ban akaribisha hukumu ya ICC dhidi ya Jean-Pierre Bemba:

Ban akaribisha hukumu ya ICC dhidi ya Jean-Pierre Bemba:

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-Moon amekaribisha hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC Jumatatu dhidi ya kesi ya

Sauti -

Habari na Picha kuelekea #WHS

Habari na Picha kuelekea #WHS

Kuelekea mkutano wa kimataifa wa masuala ya kibinadamu mwezi Mei huko Istanbul, Uturuki, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon anatembelea nchi kadhaa kuangazia ajedna yake kuhusu ubinadamu na u

Sauti -

Hali Palestina si endelevu, asema mtaalam wa haki wa UM

Hali Palestina si endelevu, asema mtaalam wa haki wa UM

Mtaalam maalum kuhusu maeneo ya Palestina yaliyokaliwa, Makarim Wibisono, ameonya kuwa hali katika maeneo ya Palestina yalokaliwa inazidi kuwa tete huku raia wakishinikizwa kufanya vitendo vinavyoonyesha kukata tamaa na vikosi vya Israel vikitumia nguvu kupindukia.

Sauti -

Katika kuadhimisha siku ya misitu FAO yazindua mpango mpya kwa ajili ya misitu na maji: