Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Baraza la Usalama lakaribisha tangazo la kusitisha uhasama Yemen

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wamekaribisha tangazo la Jumatano Machi 23 2016, lililofanywa na Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu kuhusu Yemen, Ismail Ould Cheikh Ahmed, la usitishaji uhasama kote nchini, ambao umepangwa kuanza usiku wa manane Aprili 10, na mazungumzo ya amani yaliy

Sauti -

Misri acha kukandamiza mashirika ya kiraia- Zeid

Misri acha kukandamiza mashirika ya kiraia- Zeid

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Zeid Ra’ad Al Hussein ametaka serikali ya Misri iache kukandamiza mashirika ya kiraia.

Sauti -

UNODC kuelekea mkakati wa kimataifa dhidi ya madawa ya kulevya

UNODC kuelekea mkakati wa kimataifa dhidi ya madawa ya kulevya

Mkutano maalum wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa utakaofanyika mwezi ujao mjini New York, Marekani kuhusu tatizo la madawa ya kulevya duniani, utasaidia mamilioni ya wanawake, watoto na wanaume wanaokumbwa na tatizo hilo kote ulimwenguni.

Sauti -

Wahudumu wa afya wananufaisha kwa afya, uchumi na ajira- WHO

Wahudumu wa afya wananufaisha kwa afya, uchumi na ajira- WHO

Kukuza fursa za ajira kwa wahudumu wa afya kunaweza kuimarisha afya na uhakika wa afya bora, kuchagiza ukuwaji wa uchumi na kuwezesha wanawake na wasichana, amesema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (

Sauti -

UM walaani mashambulizi Brussels

UM walaani mashambulizi Brussels

Umoja wa Mataifa umelaani vikali mashambulio ya kigaidi yaliyotokea leo huko Ubelgiji ambapo Katibu Mkuu Ban Ki-moon amesema mashambulio hayo yamegusa eneo ambalo ni kitovu cha Muungano wa Ulaya.

Sauti -

Mwaka mmoja tangu kuzuka machafuko Yemen mfumo wa afya unasambaratika:WHO