Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Balozi Kamau wa Kenya amulika mchango wa wanawake katika masuala ya amani

Balozi Kamau wa Kenya amulika mchango wa wanawake katika masuala ya amani

Ushiriki wa wanawake katika utaratibu wa kujenga amani ni suala la msingi katika kudumisha amani, amesema leo Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ujenzi wa amani kwenye Baraza la Usalama, Balozi Macharia Kamau, ambaye pia ni Mwakilishi wa kudumu wa Kenya kwenye Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Zeid atiwa wasiwasi na makubaliano ya EU na Uturuki

Zeid atiwa wasiwasi na makubaliano ya EU na Uturuki

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu, Zeid Ra’ad Al Hussein, ameeleza kutiwa wasiwasi mkubwa na makubaliano ya hivi karibuni kati ya Muungano wa Ulaya, EU na Uturuki, akisema makubaliano hayo yanaenda kinyume na kiini chake, na kuzua hofu kuhusu uzuiliaji holela wa wakimbizi na wahamiaji.

Sauti -

Hukumu ya Radovan Karadzic ni hatua muhimu: Zeid

Hukumu ya Radovan Karadzic ni hatua muhimu: Zeid

Kamishina mkuu wa Umoja wa mataifa wa haki za binadamu Zeid Ra’ad Al Hussein amekaribisha hukumu dhidi ya Radovan Karadzic, aliyekuwa Rais wa zamani jamhuri ya Serbina ya Bosnia Hergzegovina , iliyotolewa leo na mahakama ya kimataifa ya uhalifu kwa ajili ya Yugoslavia ya zamani ICTY, akieleza kwa

Sauti -

Baraza la Usalama laongeza muda wa mamlaka ya UNSOM

Baraza la Usalama laongeza muda wa mamlaka ya UNSOM

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo kwa kauli moja limepitisha azimio namba 2275 (2016), la kuongeza muda wa mamlaka ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, UNSOM, kwa kipindi cha mwaka mmoja, hadi Machi 31 mwaka 2017.

Sauti -

Baraza la Usalama lakaribisha tangazo la kusitisha uhasama Yemen