Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Baraza la Usalama laziomba nchi za Maziwa Makuu kutimiza ahadi zao

Baraza la Usalama laziomba nchi za Maziwa Makuu kutimiza ahadi zao

Wanachama wa Baraza la Usalama leo wamekuwa na mjadala maalum kuhusu Mchakato wa amani,usalama na ushirikiano kwa ajili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na ukanda wake, wakizisihi nchi wanachama kutimiza ahadi zao ili kupata amani ya kudumu.

Sauti -

Baraza la Usalama lapitisha azimio la kudhibiti uuzaji wa mafuta na silaha Libya

Baraza la Usalama lapitisha azimio la kudhibiti uuzaji wa mafuta na silaha Libya

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limepitisha azimio la kuongeza muda wa mamlaka ya vikwazo vilivyowekewa Libya chini ya azimio lake namba 2146 la mwaka 2014, hadi Julai 31 mwaka 2017.

Sauti -

Watu wanaohitaji misaada maeneo yaliyozingirwa Syria bado hawaipati:UM

Watu wanaohitaji misaada maeneo yaliyozingirwa Syria bado hawaipati:UM

Nchini Syria maelfu tya watu ambao wanahitaji misaada ya haraka bado haiwafikii katika baadhi ya maeneo yaliyozingirwa umesema Umoja wa mataifa Alhamisi. Amina Hassan na taarifa kamili.

(TAARIFA YA AMINA)

Sauti -

Mkuu wa MINUSCA akariri msimamo wake dhidi ya ukatili wa kingono

Mkuu wa MINUSCA akariri msimamo wake dhidi ya ukatili wa kingono

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, Parfait Onanga-Anyanga, amelezea dhiki yake kuhusu vitendo vya ukatili wa kingono vilivyoripotiwa kufanyika n

Sauti -

Ulinzi wa mambo ya kale ni suala la kimataifa:UNESCO

Ulinzi wa mambo ya kale ni suala la kimataifa:UNESCO

Ulinzi wa kazi za kihistoria za Sanaa sio tu suala la wakati wa migogoro au vita bali ni suala linalotia hofu kimataifa limesema shirika la Umoja wa mataifa la Elimu , Sayansi na Utamaduni

Sauti -