Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

WFP yasaidia raia zaidi ya milioni moja kaskazini mashariki mwa Nigeria

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limesema kuwa tangu mwanzo wa mwezi huu wa Desemba, limetoa msaada wa chakula au fedha kwa zaidi ya raia milioni moja katika maeneo yenye vita kwa walioathirika katika Kaskazini mashariki mwa Nigeria.  Hii inamaanisha kwamba zaidi ya nusu ya wale wanaohita

Sauti -

WFP yasaidia raia zaidi ya milioni moja kaskazini mashariki mwa Nigeria

UNAMI yalaani utekaji wa mwandishi wa habari huko Iraq

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq (UNAMI) umelaani utekaji wa mwandishi wa habari wa Iraq, Bi Afrah Shawqi, na watu wenye silaha wasiojulikana kutoka nyumbani kwake Jumatatu usiku Desemba 26.

Sauti -

UNAMI yalaani utekaji wa mwandishi wa habari huko Iraq

UM wakaribisha sitisho la mapigano kote Syria

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria, Staffan de Mistura amekaribisha tangazo lililotolewa hii leo la kuanza kwa sitisho la mapigano maeneo yote ya nchi hiyo.

Sauti -

UM wakaribisha sitisho la mapigano kote Syria

Msaada wa dola zaidi ya milioni tatu na nusu kukarabati shule Haiti baada ya kimbunga Matthew

Umoja wa Mataifa umeipatia Haiti msaada wa dola zaidi ya Milioni tatu na nusu kwa ajili ya ukarabati wa shule ambazo ziliharibiwa na kimbunga Matthew.

Sauti -

Msaada wa dola zaidi ya milioni tatu na nusu kukarabati shule Haiti baada ya kimbunga Matthew

UNMIL sasa kusalia Liberia hadi Machi 2018

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limeongeza muda wa ujumbe wake huko Liberia, UNMIL hadi tarehe 30 Machi mwaka 2018.

Sauti -

UNMIL sasa kusalia Liberia hadi Machi 2018