Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Mazungumzo ya Amani ya Yemen kuanza tena Januari:

Mazungumzo ya Amani ya Yemen kuanza tena Januari:

Mazungumzo ya Amani yanayodhaminiwa na Umoja wa mataifa kwa lengo la kumaliza karibu miezi tisa ya machafuko Yemen yamemalizika nchini Uswis bila muafaka.

Sauti -

Baraza la Haki za binadamu lipewe nguvu zaidi : Rais Ruecker

Baraza la Haki za binadamu lipewe nguvu zaidi : Rais Ruecker

Rais wa Baraza la Haki za Binadamu Joachim Ruecker amesema Baraza hilo linapaswa kuwa chombo cha msingi cha Umoja wa Mataifa. Amesema hayo kwenye taarifa iliyotolewa leo wakati akihitimisha muhula wake wa mwaka mmoja kama Rais wa baraza hilo.

Sauti -

Baraza la usalama lasikitishwa kuendelea kwa machafuko Burundi

Baraza la usalama lasikitishwa kuendelea kwa machafuko Burundi

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa  wamesisitiza kusikitishwa na kuendelea kwa machafuko nchini Burundi, kuongezeka kwa visa vya uvunjifu wa haki za binadamu na misuguano ya kisiasa.

Sauti -

Azimio la kihistoria lapitishwa kuhusu Syria

Azimio la kihistoria lapitishwa kuhusu Syria

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa leo limepitisha azimio la kihistoria kuhusu Syria linalosisitiza kwamba suluhu ya pekee kwa mzozo wa Syria ni ya kisiasa.

Sauti -

Haki za usafi wa mazingira na maji ni haki za binadamu:UM

Haki za usafi wa mazingira na maji ni haki za binadamu:UM

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki yya binadamu ya maji na usafi wa mazingira Léo Heller, na mwenyekiti wa tume ya Umoja wa mataifa ya uchumi, jamii na haki za kitamaduni Waleed Sadi, leo wamekaribisha kutambuliwa na baraza kuu la Umoja wa mataifa kwa haki ya binadamu ya usafi wa

Sauti -