Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

ICTR yahitimisha kazi leo, Baraza la Usalama latoa pongezi

ICTR yahitimisha kazi leo, Baraza la Usalama latoa pongezi

Wanachama wa Baraza la Usalama wamepongeza kazi zilizofanyika na mahakama ya kimataifa kuhusu mauaji ya kimbari Rwanda ICTR ambayo inahitimisha kazi zake leo.

Sauti -

Ban ampongeza waziri mkuu wa Iraq kwa vita dhidi ya ISIL

Ban ampongeza waziri mkuu wa Iraq kwa vita dhidi ya ISIL

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-Moon leo amempigia simu waziri mkuu wa Iraq Haider al-Abadi, na kumpongeza kwa mafanikio ya vikosi vya usalama vya Iraq kwa vita dhidi ya kundi la kigaidi la ISIL.

Sauti -

Rais wa Burundi apinga vikosi vya AU kuingia nchini mwake:

Rais wa Burundi apinga vikosi vya AU kuingia nchini mwake:

Rais wa Burundi ametupilia mbali mpngo wa Muungano wa Afrika wa kutuma vikosi vya walindamamani nchini mwake. Kiongozi amesema vikosi ikiwa vitaingia Burundi bila idhani ya serikali, vitachukulia kuwa bi majeshi ya uvamizi na serikali yake iko tayari kupambana nao.

Sauti -

Uzinduzi rasmi wa SDG’s kuanza Januari Mosi: Ban

Uzinduzi rasmi wa SDG’s kuanza Januari Mosi: Ban

Siku ya mwaka mpya Januari Mosi inaashiria uzinduzi rasmi wa ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030 (SDG’s) iliyopitishwa na viongozi wa dunia Septemba mwaka jana kwenye Umoja wa Mataifa.

Sauti -

MONUSCO yapata Kamanda mpya: ni Luteni Jenerali Mgwebi wa Afrika Kusini

MONUSCO yapata Kamanda mpya: ni Luteni Jenerali Mgwebi wa Afrika Kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ametangaza leo kwamba amemteua Luteni Jenerali Derick Mbuyiselo Mgwebi wa Afrika Kusini kuwa Kamanda wa vikosi vya Umoja wa Mataifa vya kulinda amani kati

Sauti -