Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Mtaalam wa UM ataka haki ya elimu ilindwe katika ubia wa sekta binafsi na ya umma

Mtaalam wa UM ataka haki ya elimu ilindwe katika ubia wa sekta binafsi na ya umma

Mtaalam maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya kupata elimu, Kishore Singh, ametoa wito kwa nchi zote wanachama wa Umoja huo kuangazia uimarishaji wa haki ya kupata elimu wakati zikisaka ubia katika utoaji elimu.

Sauti -

Baraza la Usalama laahidi kuendelea kufanya mijadala ya wazi

Baraza la Usalama laahidi kuendelea kufanya mijadala ya wazi

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limekaribisha kuendelea kushiriki kwa wajumbe zaidi katika mjadala wake wa wazi wa Oktoba 20, 2015 kuhusu utekelezaji wa taarifa ya rais wake namba S/2010/507.

Sauti -

Surua yatikisa jimbo la Katanga, DRC, watu 500 wafariki dunia

Surua yatikisa jimbo la Katanga, DRC, watu 500 wafariki dunia

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, jimbo la Katanga linakabiliwa na mlipuko mbaya zaidi wa ugonjwa wa Surua kuwahi kukumba eneo hilo katika miaka ya karibuni.

Sauti -

DPI imetoa taarifa sahihi kwa jumuiya ya kimataifa : Gallach

DPI imetoa taarifa sahihi kwa jumuiya ya kimataifa : Gallach

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Idara ya taarifa kwa umma DPI, Bi Cristina Gallach amesema idara yake  imefanya kazi kubwa katika kuufahimsha umma mambo mengi ya Umoja wa Mataifa hu

Sauti -

UNICEF na WFP zazindua upimaji wa viwango vya lishe kwa watoto Sudan Kusini

UNICEF na WFP zazindua upimaji wa viwango vya lishe kwa watoto Sudan Kusini

Wakati Sudan Kusini ikikabiliwa na tishio la njaa, Shirika la Kuhudumia Watoto, UNICEF na lile la Mpango wa Chakula Duniani,

Sauti -