Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Umoja wa Mataifa watarajia kurekebisha mfumo wake wa usaidizi wa kibinadamu

Umoja wa Mataifa watarajia kurekebisha mfumo wake wa usaidizi wa kibinadamu

Mwaka ujao mwezi Mei kutafanyika kongamano la kimataifa kuhusu usaidizi wa kibinadamu huko mjini Istanbul Uturuki ili kuunda upya mifumo ya usaidizi wa kibinadamu wa kimataifa.

Sauti -

Elimu ndio ufunguo wa mabadiliko katika usawa wa jinsia- Rais Mahama

Elimu ndio ufunguo wa mabadiliko katika usawa wa jinsia- Rais Mahama

Rais John Mahama wa Ghana, amesema leo kuwa tatizo la kutokuwa na usawa wa kijinsia linaweza kupatiwa mwarobaini iwapo mizizi yake itashughulikiwa, akiongeza kuwa elimu ndio ufungua wa kutimiza lengo la kufikia usawa wa jinsia.

Sauti -

Kwa umoja ule ule kwenye SDGs, tushirikiane pia kuondoa silaha za nyuklia:Ban

Kwa umoja ule ule kwenye SDGs, tushirikiane pia kuondoa silaha za nyuklia:Ban

IKwa umoja ule ule kwenye SDGs, tushirikiane pia kuondoa silaha za nyuklia:Ban

Sauti -

Ban akutana na mawaziri wa Nje wa P5, kuhusu Syria, Yemen na Sudan Kusini

Ban akutana na mawaziri wa Nje wa P5, kuhusu Syria, Yemen na Sudan Kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekutana na kufanya mazungumzo na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi tano wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama, yaani P5, ambapo wamemulika masuala ya

Sauti -

Zeid ataka pande zote katika mgogoro Afghanistan kulinda rai

Zeid ataka pande zote katika mgogoro Afghanistan kulinda rai

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa, Zeid Ra'ad Al Hussein ameelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu hali ya haki za kibinadamu katika mji wa Kaskazini Mashariki wa Kunduz nchini Afghanistan, kufuatia shambulizi kubwa la jana lilitokelezwa na kundi la Taliban.

Sauti -