Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Mkuu wa IAEA atoa ripoti kuhusu ajali ya Fukushima Daiichi

Mkuu wa IAEA atoa ripoti kuhusu ajali ya Fukushima Daiichi

Ripoti ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki, IAEA, kuhusu ajali ya mtambo wa nyuklia wa Fukushima Daiichi, imetolewa leo, pamoja na nakala nyingine tano za kitaalum kuhusu suala hilo.

Sauti -

Ban amkumbuka Jenerali Jaborandy Jr.

Ban amkumbuka Jenerali Jaborandy Jr.

Kifo cha Mkuu wa vikosi vya Umoja wa Mataifa vya kuweka utulivu nchini Haiti, MINUSTAH, Jenerali Jose Luiz Jaborandy Jr.  kimepokelewa kwa mshtuko mkubwa na Katibu Mkuu wa Umoja huo Ban Ki-moon.

Sauti -

Nchi zatakiwa kuungana katika kupinga majaribio ya nyuklia

Nchi zatakiwa kuungana katika kupinga majaribio ya nyuklia

Katika  ujumbe wake kuhusu siku ya kimataifa ya kupinga majaribio ya nyuklia, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka nchi kuungana katika makataba wa kimataifa wa kupinga silaha za nyukilia ili mka

Sauti -

Nimesononeshwa na hukumu ya mahakama ya Misri dhidi ya waandishi wa Aljazera: Ban

Nimesononeshwa na hukumu ya mahakama ya Misri dhidi ya waandishi wa Aljazera: Ban

Uamuzi wa mahakama ya Misri kuwahukumu waandishi watatu wa kito cha habari Aljazeera umepokelewa kwa masikitiko na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon

Sauti -

Ban azitaka Colombia na Venezuela zishirikiane kushughulikia hali mpakani