Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

IOM na UNHCR zatoa mafunzo kwa wadau Libya kuhusu kunusuru maisha baharini

IOM na UNHCR zatoa mafunzo kwa wadau Libya kuhusu kunusuru maisha baharini

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, yameandaa warsha ya siku mbili mjini Tripoli ili kuwapa

Sauti -

Baraza Kuu lataka kutokomeza ujangili wa wanyamapori

Baraza Kuu lataka kutokomeza ujangili wa wanyamapori

Leo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuzisihi nchi wanachama kuchukua hatua thabiti ili kuzuia na kutokomeza biashara haramu ya wanyamapori, likisema wanyama hao ambao wako hatarini kutoweka hawataweza kubadilishwa.

Sauti -

UNFPA yasaidia wanawake wajawazito nchini Yemen

UNFPA yasaidia wanawake wajawazito nchini Yemen

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na idadi ya watu UNFPA limeanzisha mradi wa kusaidia wanawake wajawazito nchini Yemen ilikuwasaidia kujifungua k

Sauti -

Ban alaani ujenzi wa makazi Jerusalem

Ban alaani ujenzi wa makazi Jerusalem

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani vikali matangazo ya kuwa Israel imepitisha ujenzi wa makazi 300 huko ukongo wa mto Magharibi eneo liitwalo Beit El pamoja na mpango wa ujenzi wa ta

Sauti -

Urusi yapinga azimio la kuanzisha mahakama kuhusu ndege ye Malaysia MH 17

Urusi yapinga azimio la kuanzisha mahakama kuhusu ndege ye Malaysia MH 17

Urusi imetumia kura yake ya turufu leo, kupinga kupitishwa azimio la kutaka iwekwe mahakama ya kimataifa ya kuwashtaki watu waliotekeleza uhalifu uliosababisha kutunguliwa kwa ndege ya Malaysia ya MH17.

Sauti -