Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Watu bilioni 2.4 hawana huduma za kujisafi - UNICEF na WHO

Watu bilioni 2.4 hawana huduma za kujisafi - UNICEF na WHO

Kutokuwa na maendeleo katika utoaji huduma za kujisafi kunadhoofisha ufanisi uliopatikana katika kuhakikisha uhai wa watoto na kuongeza upatikanaji wa maji safi ya kunywa.

Sauti -

Ubaguzi wa rangi na vitendo vya kutovumiliana vyamulikwa na Baraza la Haki za Binadamu

Ubaguzi wa rangi na vitendo vya kutovumiliana vyamulikwa na Baraza la Haki za Binadamu

Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, leo limekuwa na mjadala kuhusu ubaguzi wa rangi, chuki dhidi ya wageni aina nyingine za kutovumiliana, pamoja na utekelezaji wa mpango wa kuchukua hatua ulioazimiwa mjini Durban, Afrika Kusini.

Sauti -

Baraza la usalama lalaani mauaji ya mwendesha mashtaka Misri

Baraza la usalama lalaani mauaji ya mwendesha mashtaka Misri

Baraza la usalama limeaalani vikali mauaji ya mwendesha mashtaka wa umma wa Misri Hisham Barakat yaliyotokana na shambulio la kigaidi la bomu lililenga msafara wake na kujeruhi vibaya watu wengine.

Sauti -

Hali ya kibinadamu Syria yazidi kuzorota: OCHA

Hali ya kibinadamu Syria yazidi kuzorota: OCHA

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa maswala ya Kibinadamu Kyung Wha Kang amewaambia wanachama wa Baraza la Usalama kwamba jitihada za jamii ya kimataifa za kutatua mzozo wa Syria hazikuzui

Sauti -

Israel na Palestina zapinga matokeo ya ripoti kuhusu vita vya Gaza

Israel na Palestina zapinga matokeo ya ripoti kuhusu vita vya Gaza

Wawakilishi wa Israel na Palestina hawakukubali matokeo yote ya ripoti kuhusu vita vya Gaza vya 2014 iliyowasilishwa leo mjini Geneva, Uswisi.

Sauti -