Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

MONUSCO iko tayari kuisaidia serikali ya DRC katika maandalizi ya uchaguzi

MONUSCO iko tayari kuisaidia serikali ya DRC katika maandalizi ya uchaguzi

Wakati maandalizi ya uchaguzi yakiendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, na huku baadhi ya wawakilishi wa upinzani wakiwa wameomba mazungumzo ya kisiasa yafanyike kabla ya uchaguzi, msemaji wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo,

Sauti -

Hali Afghanistan bado ni tata: Šimonovic

Hali Afghanistan bado ni tata: Šimonovic

Msaidizi wa Katibu Mkuu kuhusu Haki za Binadamu, Ivan Šimonovic ambaye alikuwa ziarani nchini Afghanistan amesema hali nchini humo hivi sasa ni ya utata.

Sauti -

Ban alaani chuki dhidi ya wageni Afrika Kusini

Ban alaani chuki dhidi ya wageni Afrika Kusini

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani wimbi la chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini ambalo limesababisha vifo vya watu saba katika majuma yaliyopita.

Sauti -

Ukosefu wa usawa ni chanzo cha matatizo mengi duniani: Balozi Kamau

Ukosefu wa usawa ni chanzo cha matatizo mengi duniani: Balozi Kamau

Suala la ufadhili wa malengo ya maendeleo endelevu na njia za kutekeleza ajenda ya maendeleo ya baada ya mwaka 2015 ni mada ya mkutano maalum wa siku nne ulioanza leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.

Sauti -

UNICEF yaunga mkono SCHOLAS, mpango wa Papa Francis kuhusu barubaru