Baraza Kuu -GA na Baraza la Usalama

Watoto wahanga wa mzozo wa Yemen : Zerrougui

Watoto wahanga wa mzozo wa Yemen : Zerrougui

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu watoto vitani, Leila Zerrougui, leo amezisihi pande zote kwenye mzozo wa Yemen kulinda haki za watoto nchini humo.

Sauti -